Naomba kuelekezwa jinsi ya kuset receiver ya mediacom

babanyau

Member
Jan 11, 2017
26
12
Kama kichwa cha habari kisemavyo nina receiver ya media com 930 sijui nianzie wap hasa kwenye setting yake namna ya kuweka ayo mafrequence naomba ambaye anatumia anielekeze ikiwezekaka anitumie hadi picha
 
Back
Top Bottom