ivankeny JF-Expert Member Apr 8, 2016 310 278 Jan 12, 2017 #1 Ni jana tu nilikuwa nimefungua laptop yangu natazama Movie gafla nipo katika kutazama Ikakata Sauti mpaka sasa sielewi tatizo ni nn.. Masaada pliz kwa Mwenye uelewa kuhusu hili tatizo
Ni jana tu nilikuwa nimefungua laptop yangu natazama Movie gafla nipo katika kutazama Ikakata Sauti mpaka sasa sielewi tatizo ni nn.. Masaada pliz kwa Mwenye uelewa kuhusu hili tatizo