Natanguliza shukurani za dhati, Mimi ni Mara Yangu ya kwanza kuagiza mzigo kutoka China. Mzigo umetumwa kwa express juzi na nimepewa tracking number. Sasa nitajuaje mzigo wangu umefika? Naomba msaada wenu tafadhali

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.