Mtendee jirani kama ambavyo ungependa akutendee wewe.
Mkuu si vizuri kucrack software, tena kama software developer inabidi uwe na shame kidogo. Kama you really need GUI for managing sql tafuta open source tools nyingine ambazo ni free utumie. Kuna free alternatives kama Valentina Studio na Sequel Pro.