Tanki
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 538
- 246
Wakuu habari za muda.
Nina invetor ya watt 300. Betri ( EXIDE ) N150. Pia nina pannel original kabisa ya watt 100 ( From Germany)
Niliunganisha hivyo vitu na nikawa napata umeme vizuri kabisa bila shida. Taa mbili , Radio na kuchaji simu tu.
Lakini wataalamu siku hizi kuna tatizo limeibuka. Taa zinawaka vizuri tu. Nikiitest tv inafanya kazi vizuri tu. Feni pia inafanya kazi bila shida. NB: TV na FENI huwa sivitumiagi kwakuwa pannel yangu ni ndogo nikitumia hivi vitu usiku lazima umeme uzimike.
Tatizo ni kwenye chargers za simu. Siku hizi nikichomeka charger.basi itafanya kazi kwa muda wa kama siku moja au mbili then itaungua. Nilinunua charger original kabisa ikaungua. Nikanunua nyingine nayo ikaungua. Nikanunua tena nyingine pia ikaungua. Arafu hizi zilizoungua nikizichomeka kwenye cable ghafla invetor huwa inazima arafu huwa inaunguruma kwa sauti fulani hivi na kwenye cable hupiga short. Yaani cheche huruka.
Arafu nakumbuka charger zote kabla hazijaungua zilikuwa zinatoa moto mwingi kwenda kwenye simu. Na nilishaunguza kasimu kangu fulani kadogo tu.
Hivi jana tu nimenunua charger nyingine. Nikachajia simu vizuri tu. Sasa nayo tayari ishaanza kutoa moto mwingi kwenda kwenye simu. Najua muda wowote nayo itaungua. Kuna muda hadi simu inaniambia kabisa kwamba charger inapitisha moto mwingi ( Over Voltage)
Je Wataalam hapa natatua vipi hili tatizo.?
Au kuna kifaa natakiwa nikiweke. Maan mimi nachomeka charger direct kutoka kwenye cable au sometime kutoka kwenye invetor.
Naomba kuwathilisha.