Website Mpya Hususani kwa Ajili ya Watumiaji wa simu Janja.

johnmlay

Senior Member
Mar 27, 2012
140
225
Habari wana jamiiforum Napenda kuchukua nafasi Hii kuwakaribisheni Wote kutembelea SMARTPHONES TANZANIA Website Mpya kabisa iliyoanzishwa kusupport watumiaji wote wa smartphones kwani ni teknolojia inayokua kwa kasi sana. Pia kuna Jukwaa maalumu Forums – SMARTPHONES TANZANIA kwa ajili ya kubadilishana mawazo kuhusu simu zetu. Karibu kwa Mawazo, maoni na Ushauri. Pia karibuni Kuanzisha Threads Katika Forums Ili Muweze kujipatia Vyeo kama moderetor, Admin N.k katika SMARTPHONES FORUM. Karibuni SMARTPHONES TANZANIA
 
PIA KARIBUNI KWA MAONI KUHUSIANA NA WEBSITE KIUJUMLA
 
Capt Tamar

JF-Expert Member
Dec 15, 2011
10,026
2,000
Nitapata faida gani kupata cheo kwenye hiyo forum yenu!! Hapa JF kuna Tech&Gadget! Unatushawishije tuhame hapa na tuhamie huko?
 
Stefano Mtangoo

Verified Member
Oct 25, 2012
4,139
2,000
Nadhani forum ungeitoa tu kwa sababu watu wamezoea kujadili mambo hayo hapa. Nakushauri uweke nguvu zako kwenye contents za website.

Epuka kunakili na kubandika. Kaa fikiria na uandike mada zako mwenyewe. Kama ni habari basi utafute toka chanzo mama na sio mtoa taarifa wa nne wewe unakuwa wa tano.

Mwisho jaribu kubuni mwonekano mpya, rahisi na usio na makorokoro na mapicha picha mengi yasiyo na msingi. Weka picha pale panapohitaji picha. Na kabla hujaweka picha zaidi ya moja jiulize kama inaongeza thamani yeyote.

All the best...!
 
johnmlay

Senior Member
Mar 27, 2012
140
225
Nitapata faida gani kupata cheo kwenye hiyo forum yenu!! Hapa JF kuna Tech&Gadget! Unatushawishije tuhame hapa na tuhamie huko?
Faida Ipo sababu forum ile ipo specific zaidi na maswala ya simu. sisemi muhame tech forum hapana.. techforum ni nzuri kwani itakujuza mengi kuhusiana na teknolojia mbalimbali kuachana na smartphones
 
johnmlay

Senior Member
Mar 27, 2012
140
225
Nadhani forum ungeitoa tu kwa sababu watu wamezoea kujadili mambo hayo hapa. Nakushauri uweke nguvu zako kwenye contents za website.

Epuka kunakili na kubandika. Kaa fikiria na uandike mada zako mwenyewe. Kama ni habari basi utafute toka chanzo mama na sio mtoa taarifa wa nne wewe unakuwa wa tano.

Mwisho jaribu kubuni mwonekano mpya, rahisi na usio na makorokoro na mapicha picha mengi yasiyo na msingi. Weka picha pale panapohitaji picha. Na kabla hujaweka picha zaidi ya moja jiulize kama inaongeza thamani yeyote.

All the best...!
asante kwa Ushauri mzuri.. Picha ni muhimu ziwepo za kutosha kwani ni tutorials zile hivyo lazima pawepo na illustrations za kutosha ili mtu aelewe. Pia forum ni Muhimu kwani Sehemu pekee watumiaji wa smartphones wataweza kujadili mambo yao Bla ya Kuchanganya mada nyingine.[/QUOTE]
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom