Msaada; Chip ya 4G inakataa kwenye Ipad 2

Msaada; Chip ya 4G inakataa kwenye Ipad 2

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,006
Reaction score
74,637
Nimejaribu kuweka chip ya Voda 4g kwenye Aple Ipad 2 na imekataa kusoma tatizo ni nini? Wataalam naomba msaada wenu tafadhali. Nifanyeje?
 
Back
Top Bottom