Website mpya wa watu wa IT | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Website mpya wa watu wa IT

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kilongwe, Feb 26, 2009.

 1. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ndugu wana JF,kwa wale wapenda maendeleo,kama mujuavyo nchi yeyote haiwezi kuendelea kama watu wa IT hawatojitolea kwa hali na mali zao.
  Kuzingatia hayo,nimekuwa na wazo hili ambapo,nitadevelop website kwa ajili ya watu wa IT,hii website itakuwa ni kijiwe na source ya information zote za IT na maisha kwa ujumla,

  Kimsingi kuna watanzania wengi ambao wana moyo hivyo jamani naomba tushirikiane kama ifuatavyo.
  Kumbuka ninapomaanisha kushirikiana ina maana unaweza kusema wewe utatengeneza banner,mwingine akasema atatengeneza logo,mwingine akasema atatengeneza management system na kitu chochote unachokipenda.

  Kazi ya kudevelop itaanza mnamo March 10;
  Kuanzia sasa ninaomba watu tusaidiane kwa maoni wewe unafikiria nini,je unaona tunaweza kuwa na info gani,unaona nini tunaweza kukiunganisha kwa pamoja au nani anaweza kutupamsaada(nina maanisha msaada wa kiufundi au mawazo kwani nina server yangu binafsi yenye space kubwaaaaa ya kutosha kamahivyo no extra cost wakuu)
  Lugha ya kutengenezea website nitayotumia ni mjumuiko wa PHP na JSP(hii ni kutokana na security issues hivyo nimeonelea nichanganye lugha mbli,)
  Database tutatumia mysql,kama kuna umuhimu hata oracle ila sio kwa sasa.
  Lugha ya website itakuwa ni KISWAHILI TU!(Kingereza au Kichina kitatumia pale inapobidi,ila kiswahili ndio lugha kuu)
  Mwisho wa kupokea maoni ya kwanza itakuwa ni march 9.

  Kumbuka baada ya kudevelop,nitaacha code kwa watu wenye nia ya kuendeleza website as long hakuna kihatarishi cha usalama.
  Mpaka mwiso wa 2010,website itakuwa tayari imekomaa na kuwa stable.
  Michango jamani.

  Kwa michango,featuring na mingineyo waweza kutoa hapa JF au kuniandikia kwenye e mail yangu ambayo ni kilongwe@qq.com au robot08@qq.com
   
 2. Piemu Esquire

  Piemu Esquire Member

  #2
  Feb 26, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo umenena sasa njoo kazini......
   
 3. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ufafanuizi wakubwa,
  Nimepokea e mail muheshimiwa akaniambia mbona hiyo 2010 ni mbali mno? kimsingi website itakamilika ndani ya mwezi baada ya march,ila si unajua information ni nyingi ambazo inatakiwa tuziorganise,hivyo mpaka ifikapo mwishoni mwa 2010 tutakuwa ni moja ya sehemu ambayo kila msomi wa tanzania anajivunia,tutaanza na kusimamisha boma,then tunapiga lipu na kumalizia kwa vigae.

  Movement:
  IT ni kubwa mno wakuu,kila mtu amejikita katika kona yake,sasa nini tunaomba,ni kuwa katika angle ambayo wewe unaona unaipenda,basu tupe information za maana kuhusu hiyo angle,au ukajitolea kuwa admin wa hiyo angle,mimi binafsi nimejitolea kuingia kwenye Networking,wakubwa hii haihitaji knowledge ya Webdesigning,tunachotaka ni kuwa kwa mfano tukampa kaka Buswelu kuwa Admin wa Database,yeye kazi yake ni kuorganise na kutafuta infos zote za Database na kuziweka kwenye Web,kumbuka tunahitaji watu ambao wapo tayari kujitolea kwa masilahi ya Watanzania wote.
   
 4. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 931
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 180
  Yaani hii ina maana sisi vilaza wa IT haturuhusiwi kushiriki? Kumbuka mimi ni kilaza, usijetenda dhambi kutukana kilaza ukaonekana kilaza.
   
 5. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  mkubwa kila mtu anaruhusiwa kushiriki endapo tu ushiriki wako utakuwa na mchango kwenye jamii,sio lazima hata uwe wa IT,nakumbuka nilikuwa nadesign website moja,sasa kuna mtu mmoja ambaye yeye hata kuclick mouse ni tabu akaniambia,unajua mzee hayo maneno uliyoweka hapo juu kwa lugha ya nchi yetu ni matusi,ukawa msaada mkubwa kwani ingeleta impact mbaya kimtindo,hivyo maoni yanakaribishwa uwezavyo.
   
 6. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #6
  Feb 26, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 931
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 180
  ====

  Hapo Mukulu umenena kwa hekima.
  Mungu akuongezee umaarufu kama Chadema,
  Akupunguzie kukataa tamaa kama anavyopunguza kura za CCM mwaka 2010
   
 7. C. Misonge

  C. Misonge JF Gold Member

  #7
  Feb 26, 2009
  Joined: Oct 3, 2007
  Messages: 61
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  mkubwa hilo ni wazo zuri, mi nitakuunga mkono kwenye networking, mail yangu natumai unayo kama umeisahau nitakutumia kwa mawasiliano zaidi
   
 8. P

  Prince Member

  #8
  Feb 26, 2009
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dear Kilongwe,

  let me first give you a pat on the back for an excellent idea and your generosity to offer your resources to host the site.

  some input:
  1. It may be a good idea to NOT limit the language to SWAHILI. there are lot of things that may still need ENglish as the medium of communication. A good example is tech issues such as tutorials on programming languages - it will be hard to try to put them in Swahili.

  2. Rather than try to develop the site from scratch, why not use a Content Management System (like one used for this site). There are lots of openSources or affordable solutions out there. This will free resources from the developing efforts( the technology) the site to the actual IT stuff (the content)

  3. it will be a good idea to find volunteers in different aspects of ICT, who will act like mods for the various sub sites (something like contributing editors). quick examples may be Security, Programming, Databases, Networking, end user support etc

  my 2 cents

  Prince
   
 9. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #9
  Feb 26, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Thanks bro,Ni kweli lugha yetu inalack kwenye misamiati ya kiufundi hivyo basi materials yote yatakuwa kwa kingereza kwani hatuna hayo materials ya kiswahili,ila lugha ya kufikishia ujumbe ndio itakuwa kiswahil,nakumbuka kipindi nipo Mzumbe,baba wibo alikuwa anatema nyanga kwa kiswahili huku akitumia Nelkon ya kingereza,sijui nimeeleweka,
  Hapa nina maanisha KIngereza lazima kitumike,ila itakuwa kama ilivyo kwenye Bongo5,kwa upande wa kiswahili.
  Kwa mfano,wachina ingawa Lugha yao imeshiba misamiati,lakini kuna masomo kibao ambayo unaingia darasani PPT ni za kingereza,kwanini ni kwa sababu kingereza kimeshika,hivyo usiwe na hofu mkubwa.
  Kuhusu open source,mimi nilikuwa nafikiria kwanini na sis tusiwe na open source zetu za Tanznania,kuna vichwa kibao vya kitanzania hivyo nilikuwa naona tuanze scratch na tuweke code wazi(open source) ili watu wenye kutaka kuendeleza au kujiendeleza wazitumie ili ije siku tuwe na open source toka Tanzania,tuanze mdogomdogo kaka tutafika,tusiwategemee saaana wadhungu kwani wanatudumaza.

  Kuhusu mgawanyo,kama nilivyodokeza hapo juu,tunahitaji watu toka fani zote za ICT,haijulishi wewe unajua nini ili hapo baadae hata tuwe na kijiji cha ICT,mwanzo mgumu wakubwa.
   
 10. JuaKali

  JuaKali JF-Expert Member

  #10
  Feb 26, 2009
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 785
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu kilongwe,
  Nina swali moja la kuuliza, kwa vile watu wa IT ni watu wa kudownload madude kibao online na yenye GB kibao, utakuwa na uwezo kiasi gani(backbone bandwith) wa kusaport hizo traffic na mzigo wako? nijuavyo mimi space siyo issue maake siku hizi TB zinacost chini $100 ila hiyoooooooo backbone tusije tukarudi kwenye speed za dial up.

  Miye nitatia mguu katika Networking / Database.
  Mungu Ibariki TZ
   
 11. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #11
  Feb 27, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  MKubwa hilo ni moja ya jambo ambalo tunahitaji ushauri pia katika swala la kudownload na kuupload kuna mambo ya hati miliki,kwa nchi zetu najua lazima kuna watu tutazungukana tu,kwa mfano huku China hilo tatizo hakuna kwani bandwidth kama 10M/sec(Downstream) na 5M/sec(Upstream) ina uwezo wa kuhudumia hata watu mia kadhaa kwa pamoja(同时连接) kipindi wanadownload na kwa cost murua sana.So tutachagua nchi ambayo haina misheria kwa sana na ni cheap.
  Hivyo kipindi tunasubiria fibre yetu tutahost sehemu ambayo kuna bandwidth za ubwee na hapo mradi utakapo kamilika basi tutarudi Tz kwani si unajua walengwa ni waTz hivyo lazima tuwe karibu na Client,kwa mfano mimi mpaka nifikie server ya Jamii forums napitia host kama 19-25(inategemea na loadbalancing an BGP converge);
  Wazo la pili ni kuwa tunaweza kufanya kama kaka INvisible ambapo tutakuwa tunatafuta link ambazo ni safe then tukaziweka na watu kudownload huko kwa kutumi hizi downloading accelerator.
  NI hayo kwa leo...
   
 12. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #12
  Feb 27, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  huu utakuwa mwanzo mzuri sana.
   
 13. Y

  Yassin JF-Expert Member

  #13
  Feb 27, 2009
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu nadhani ni wazo zuri sana ambao umesema maana wengi sana tunaweza kufaidika zaidi na zaidi kwa ajili ya hii kitu umeamua au umesema kitu cha maana sana...So naweza kila kitu kitakuwa fresh na ushirikiano utakuwepo kama kawaida ni kujitupa na kuwa na moyo wa kitu fulani,basi tutafika tunapokwenda na tutafanikiwa,Me nipo tayari kwa hili swala katika kushirikiana zaidi!!
   
 14. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #14
  Feb 27, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  kimsingi tutafanikiwa,unajua hakuna kitu kisichowezekanaila tu upeo wako mtu ndio utaokufanya usiweze kitu,sasa cheki tupo watanzania wangapi ambao tunaweza kushirikiana na kufanya mambo,mwanzo ni mgumu.
  Kuna hii website wadau nimeiona ipo mwake kimtindo http://www.goitexpert.com mnaweza kucheki kwani kwa sasa ni kuangalia jinsi gani ya kuorganise contents,kuhusu wadau walioshauri open source,musiwe na wasi...Vipo vichwa vya kitanzania ambvyo vitaandika code zote then tutakuwa tunazidevelop pamoja.Ndani ya wiki kadhaa baada ya kazi kuanza,kwa sasa tupeane mawazo je web iwe style gani,contents gani(kama kuna web unaijua we imwage tuu hapa) tuifanyie kazi.
  Suala lingine ni kuwa kama nilivyosema jana,kama wewe ni mzuri wa graphic unaweza kusema mimi nitatengeneza logo,mwingine akasema atatengeneza bana nk...au mtaalam wa michoro anawezakusema mimi nitawaholea layout ya hiyo website nk.
  Wataalam wa project planin' munaweza kutusaidia kuandika plan ya project na ushauri kama huo.lengo ni kumshirikisha kila mtu mwenye nia,wale wanaozani kila kitu ni impossible wale pozi wasubirie matokeo.
  Ila nimefurahi kuona wataalam wengi wana uchu na mambo kama haya,
  Kwa leo...
   
 15. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #15
  Jan 12, 2017
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,316
  Trophy Points: 280
  MMEFIKIA wapi?? Still waiting!
   
 16. VLAN999

  VLAN999 Senior Member

  #16
  Jan 12, 2017
  Joined: Dec 18, 2016
  Messages: 128
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Bado tuna-develop
   
 17. msavangecalvin

  msavangecalvin Member

  #17
  Jan 12, 2017
  Joined: Oct 23, 2016
  Messages: 12
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Aise haifungua mbona
   
 18. m

  master mpemba Member

  #18
  Jan 12, 2017
  Joined: Jan 6, 2017
  Messages: 7
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Me ni mtaalamu wa IT
   
 19. m

  master mpemba Member

  #19
  Jan 12, 2017
  Joined: Jan 6, 2017
  Messages: 7
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  But ni mgeni hapa JAMII forum
   
 20. Stefano Mtangoo

  Stefano Mtangoo Verified User

  #20
  Jan 12, 2017
  Joined: Oct 25, 2012
  Messages: 3,596
  Likes Received: 812
  Trophy Points: 280
  Watu huja na wazo then mwamko unakuwa sifuri, basi jamaa anaendelea na maisha mengine na kupotezea. Ndivyo mawazo mengi ya kitanzania hufa.
   
Loading...