Franco Dsm
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 565
- 423
naombeni msaada na samsung s3 ila internet inafanya kazi only kwenye program kama facebook watsap na google play !! ila kwenye Browser instagram , chrome. , opera azifunguki inaandika internet setting off .. msaada natumia Vodacom msaaada