Je naweza ku-flash rom ya Tecno Y3 kwenye Tecno Y3+

Son.j

JF-Expert Member
Jan 10, 2013
998
2,305
Je ninaweza ku flash rom ya tecno y3 kwenye tecno y3+
specification zake zote zinalingana.
Natanguliza shukrani
 
Hapana tumia rom husika kwa simu husika mkuu...
Ndio maana hiyo ikaitwa y3 na y3+ ina maana hii yenye plus ina features za ziada sasa utakapo iweka kwenye y3 ya kawaida sim hatakama itawaka lakn itasumbua sana. Ni sawa na kubadili injini ya Rav4 unaifunga kwenye Vx kwakuwa ni injini.
 
je nnaweza ku flash rom ya tecno y3 kwenye tecno y3+
spesification zake zote zinalingana
natanguliza shukrani

Hizi simu hazifanani feature mkuu, mfano mdogo angalia processor ya y3 ni 1.0GHz dual core wakati hii y3+ ni 1.3GHz dual core. Nk chunguza vizuri.
My take wewe tafuta tu Rom ya Y3 flash simu yako.
 
Back
Top Bottom