Know who did certain activity in Google account

bro kay

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
254
222
Habari wakuu, heri ya mwaka mpya.

Nmelog in google drive kwene different devices, na nikifanya any changes i.e deletion, ku move, ku edit notification inakuja kwenye kila device kuwa "You done this"

Nataka kujua kila activity ilofanyika niweze kujua device ipi imefanya either kwa ip adress au device name or watever.

Msaada wakuu.

Regards
 
Back
Top Bottom