Elviejo
JF-Expert Member
- Jun 1, 2012
- 368
- 193
Salaam wandugu, Nilikuwa nina type text, ghafla ika display blue screen kwenye kioo na kuzima. nikajaribu kuwasha inawaka kwenye ile logo ya lg then blue screen inatokea na kujizima. nikatoa betri na kurudisha, kujaribu kuwasha bado blue screeen. Tatizo ni nini? na lina solvika?