Kozi ipi ya computer inafaa

shamun

Member
Dec 30, 2016
65
12
Samahan wana jf ni coz gan ni nzuri ya computer unayoweza kukupa kazi au kukusaidia kwa maisha ya sasa wakati nasubili matokeo ya form four ya kwenda advance na inaweza chukua mda gan

Natanguliza shukran za dhati
 
Computer application ya wiki nane pazuri na yenye heshima ni inayotolewa na Udsm possibly 300000/= zitakutoka lakini ni nzuri. If possible chukua pia advanced level yake(computer applications).
 
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom