Nahitaji Graphics designer kwa ajili ya business card.

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
59,506
103,164
Nahitaji kutengeneza business card zilizodizainiwa kwa kiwango.

Kama unaamini wewe umebobea kwenye kazi hii naomba shusha sample yako hapa na quotation zako ili nikupe kandarasi.

Nb: kwa wale wanaojifunza shughuli hizi tafadhali usiombe kazi hii hata mimi najuwa kutumia computer vizuri sana ila naheshimu wenye taaluma yao.
 
NJOO pM ISHU NI KUDESIGN TUU! NJOO TUZUNGUNZE!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom