BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
Sio smartphone Ni hizi Za kawaida na haina uwezo wa internet Nitawezaje kuifanyia factory reset?
Bango
Bango
Sio lazima kuflashHapo kaiflash tu ndo solution.
Mwambie bas solution, navojua smart phones ndo inawezekana kureset bla kaiflash kwa kutumia shortcutSio lazima kuflash
Ntaformat vipi mkuuFormat tu mwenyewe hakuna haja ya kupeleka kuflash
Ni hizi tecno ndogo za mwanzoaina gani?
Ni hizi tecno ndogo za mwanzoAina gani ya simu?
Kompyuta ninayoHapo wewe peleka kwa computer wakufanyie phone phomat au kuflash hapo kazi shila
hawezi kuiba ki tecno kidogo wakati ana smartphone na computerNahofia kuchangia nisije kusaidia wanatuibia Simu wapate njia za kufungua password zetu. Kama Simu yako unaitumia kila siku kwa password iweje Leo upoteze???
Kuwa specific ili tuweze kukupa suluhisho, what brand and model?Sio smartphone Ni hizi Za kawaida na haina uwezo wa internet Nitawezaje kuifanyia factory reset?
Bango
Mwemye nayo ni mi mwenyeweMrudishie mwenyewe hiyo simu...
Nieleze kwa pmNahofia kuchangia nisije kusaidia wanatuibia Simu wapate njia za kufungua password zetu. Kama Simu yako unaitumia kila siku kwa password iweje Leo upoteze???