... Mkuu nenda hapo kariakoo, makutano ya kipata street na nyamwezi, kuna maduka yanatizama na pharmacy hivi, hiyo frame ya katikati(siikumbuki ni ya ngapi tokea kulia au kushoto) Kuna duka hapo utapata vifaa hivyo vya electronics ..
duka jingine lipo hapo halo kariakoo mtaa wa kipata na mtaa wa Congo ... Somewhere hivi kabla haujauvuka huo mtaa wa congo kuelekea mtaa wa nyamwezi , kuna duka lipo located kwenye frame za ndani kidogo, haliko open panaitwa kwa Sam electronics.
Sehemu nyingine ni hapo kwenye round about kariakoo hapo kabla hujakatiza mtaa wa Congo upande was kulia kama unaelekea mnazi mmoja hapo kwenye hao jamaa wanaouzaga adapters na remote controls kuna duka jingine LA vitu vya electronics.. kama sikosei linaitwa ghost rider ...
huwezi ukakosa electronics components kwenye hayo maduka.. all the best mkuu..
Nenda mpaka round about ya askari then kamata njia ya kuja ttcl kabla ya kuianza kuna pacha mbili pale na fuel station acha njia kubwa kushoto nenda ya kulia, mita km 350 kulia kwako utaliona hilo duka.Ungenipa maelekezo ya sehemu lilipo vizuri mkuu, POSTA kubwa ile.