Msaada Jinsi Ya Kuroot Huawei Mate 8

Rais Wa Malofa

JF-Expert Member
Aug 27, 2015
683
782
Nimejaribu njia zote ninazozifahamu imeshindikana. Naomba mwenye utaalam wa Ku'root Huawei mate 8 anisaidie.
Natanguliza shukrani!!
 
Ungezitja kwanza hizo unazo-zifahamu!
Ili wajuzi waje na alternative way
But kama una pc jaribu kingroot ile pc version
1: enable usb debugging kwa simu yako
2: then connect hyo simu yako na pc via usb
3: Run kingroot
Iache ifanye yake hadi imalize utaona alama ya tick
YOU HAVE DONE!
 
Back
Top Bottom