Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,925
- 95,582
Nimedownload nyimbo ninazozipenda kutoka youtube zingine zikiwa kwenye format ya MP4 na nyingine zikiwa kwenye format ya MKV.Nimeziweka kwenye flash na zinaplay vizuri kwenye laptop yangu.Tatizo linakuja nikichomeka hiyo flash kwenye LED flat screen tv,yaani video inaoneka fresh ila sauti haitoki!!....nimejaribu njia tofauti tofauti kama vile kabadili format ya hizo video kwenda kwenye AVI format ila wapi!!!....Tatizo linaweza kuwa ni nini wakuu?......nifanye nini ili niweze kupata sauti pindi nichomekapo hiyo flash kwenye tv??...Hizo video nimezidownload kwa kutumia IDM
Cc:Chief Mkwawa
Sifa na utukufu ziwaendee wote watakaonisaidia!
Cc:Chief Mkwawa
Sifa na utukufu ziwaendee wote watakaonisaidia!