wickerman
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 408
- 248
Niaje wadau,
Ni muda sana sijapost kitu humu ndani, mambo mengi. Leo ningependa kuwasilisha shell script niliyotengeneza kunisaidia kutafuta decrypted hashes, sana sana za MD5. Script hii naelewa kwamba siyo kwa matumizi ya wote, kwamba wengi wanaweza hata wasielewe faida au inatumika kwa ajili gani. Mnaweza appreciate tu na kusoma pia, unaweza jifunza kitu.
Kwa wale wanaoelewa, mfano napenda kuwaita security researchers (hackers blah blah). I hope script hii inaweza kuwa na faida kwako. Kwa sasa inatumia database kubwa ya MD5 hashes. SHA-1, SHA-256, SHA-384 na SHA-512 ziko supported, sema sio nyingi sana.
Inachofanya na faida yake:
Kwa urahisi, inachofanya ni kwamba unapoipa hash ya kutafuta, inaenda kuchek kwenye hizo database na ikikuta hiyo hash inarudisha plain text yake. Faida yake ni kwamba huna haja ya kuwa na wordlists, rainbow tables n.k kupata plain texts. Wordlists ni nzuri sema mara nyengine matumizi yake sio efficient. Ila utaweza kutumia resources ambazo wengine walishatengeneza. Hivyo inanisaidia kusave muda na resources za PC yangu kwasababu inahitaji internet tu.
Kwanini Hashsearch:
Naelewa kuwa kuna tools za kucrack passwords/hashes zenye speed kali sana mfano hashcat, ishu ni kwamba iko hardware bounded sana, inahitaj GPU nzuri mfano kama za Nvidia au AMD Radeon zenye OpenCL ambazo kwa wengi bado wanaweza wasiwe nazo. Na sometimes kupata hash moja ni mpaka zipitiwe nyingi sana kwenye wordlist, ambayo nayo ni redundancy tu. Ukitumia script hii unachohitaji ni internet tu na si kingine na haina haja ya kuanza kupitia wordlist yoyote.
Limitation zake:
1. Script hii japo kuwa inafanya kazi vizuri sana, bado ina mapungufu yake. Ishu kubwa ni kwamba kupata databases nzuri za hizo hash sio rahisi. Nyingi zinataka upitie verifications mfano CAPTCHA, ambazo sio rahisi kuzipita au kuzijaza programatically. Hivyo inaweza isiwe na database kubwa sana kuweza kuretrieve kila plain text.
2. Kila mtu ana password yake, na kwakuwa hash hizi ni one way, yani huwezi zifanyia reverse processing kupata neno halisi. Hivyo inategemea sana kama hash ya password hiyo ilishawahi kuwa generated kabla. Kwa maana hiyo sio kila hash utaweza pata plain text yake. Na hivyo ilivyo.
Utaipata vipi :
Mimi nina manage script hii Github, hivyo kama ungependa kuitumia ni vyema ukawa unaitolea huko. Maana updates zote zitakuwa committed huko kwanza. unaweza tembelea link hii.
Ombi:
Kama unafahamu databases zozote za hizi hashes ambazo hazihitaji verifications mfano hii, naomba unitumie inbox kwa ajili ya kuimprove script hii. Kama umependa script, uthubutu au hata idea yake, sio vibaya kuipa a star Github, click hapa.
Disclaimer:
Mimi nimetengeneza tu hii script bila nia mbaya. Utakavyoitumia sio juu yangu, na wewe ndo utakuwa responsible. Tilia maanani cyber crime law za Tanzania, na uhakikishe uko kwenye upande sahihi wa sheria.