Smart Elite ni wamekuwa wakiwasaidia watu wengi namna ya kutengeneza simu au computer yako mwenyewe bila kwenda kwa fundi. Ni kampuni ambayo itazindua App yake karibun. Nimezipenda huduma zao ambazo ni za bure juu ya matatizo ya computer. Unaweza kufungua link yao hapa na ukajionea mwenyewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.