Kila nikitaka kuingia Facebook simu yangu inazimika

mtanzania asiye jielewa

Senior Member
Nov 13, 2016
179
98
Natumia huawei G510 yaani inanipa shida sana kila nikitaka kuingia fb inazimika. Nashindwa kubaini tatizo ni nini.

Pia najaribu kuingiza link ya kupata TV za hapa Tanzania inagoma. Msaada tafadhali
 
RAM ya iyo simu ni kiasi gani? Kama ni chini ya 1GB itakuwa inazidiwa.
 
Facebook imeripotiwa kuwa inasababisha simu ku-slow down kwa 15% kutokana na tafiti zilizofanywa.

Hivyo kama RAM ni ndogo na processor ni ndogo pia, lazima simu ita-restart.
 
Natumia huwaei G510 yaani INA IPA shida sana kila nikitaka kuingia fb inazimika
Nashindwa kubaini tatizo ni nini?
Pia najaribu kuingiza link ya kupata TV za hapa Tanzania inagoma
MASAADA JAMANI
ile app ya facebook ndio inatatizo na wala si simu yako me mwenyew imenitokea nimeifuta natumia chrome tu now kuingia fb
 
Punguza takataka/apps katika simu yako zisizo za muimu..hizo simu zina RAM ndogo sana na procesor ndogo.hiyo ni old fashion haina uwezo mkubwa.
Hata ukireset simu bado hua inazima ukishaidownload tena
 
Back
Top Bottom