Kama kuna nyimbo au picha unaweza ukazi-move kutoka internal to external sd. Kama ni apps kuna baadhi zinahamia kwenye sd card kwa kupitia kwenye setting>apps. Kwa zile ulizo download chagua moja baada ya nyingine utaona sehem imeandikwa move to sd card/move to external storage .Asante mkuu, naomba nisaidie namna ya kuhamishia katika SD Card (Memory card)