Mwenye Youtube channel anaeuza nahitaji

acha uvivu ukishakuwa na Gmail account tayari unamiliki youtube channel unafuata maelekezo unamiliki na wewe
 
mtu anaposubscribe inamaana anataka kile kitu anachokiona kwenye chanell, mfano mimi chanell yangu ni ya mziki wa taarabu halafu wewe ukainunua na kueka chanell ya somo la hisabati unafikiri watu watabaki? wengi watakimbia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom