Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naomba msaada mtu mwenyekujua jinsivya kuangalia salary slip kwenye mtandao, najinsi ya kuangalia makato ya mfuko wa jamii kama lapf au pspf.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Khabari wana jamvi hili.. Nikiwa na tabasamu lenye tumaini la uimara wa afya zenu, naomba nikunje miguu kama nyie jamvini kisha tujumuike pamoja.. Ewaah.. Akhsanteni.. Kabla hamjanipa chakula...
0 Reactions
8 Replies
998 Views
Jinsi ya ku ‘root’ simu yako ya Android. SASA TUJE KWENYE MADA; Android ni Mfumo wa simu (Operating System) ambao unaboreshwa siku hadi siku. Mfumo huu una majina tofauti kutegeana na toleo lake...
12 Reactions
59 Replies
8K Views
Nahitaji kuhack simu ya android ili nipate sms za kawaida, za whatsapp, voice calls na call logs zake. Software ipi na inapatikanwa wapi? Namna gani kuitumia? Naomba ushauri.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanajamii naomba mtu mwenye ujuzi na simu anijuze. nimejichangachanga kidogo nina 200,000/= hivyo nataka ninunue simu yenye ubora mzuri. nahitaji TECNO je ipi nzuri kwa pesa hiyo au nikiongeza...
3 Reactions
116 Replies
29K Views
Habari wakuu..!! Nina sony music system yangu ya miaka mingi kidogo kwa miaka zaidi ya 15 inapiga kazi. Miezi miwili iliyopita haikutumika tulikuwa safari, sasa leo kuiwasha, inawaka lakini main...
0 Reactions
2 Replies
694 Views
Habari wanIT, bado nafikiria kwann IT wengi wa kibongo magumashi kwenye swala kujoin pamoja na kutengeneza ajira kwa wengine kama vile FB, Twitter, Google n.k. Kwann tunakuwa wabinafsi kiasi hiki...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu naomba kuuliza hzi cm hapo chini ipi bora kuliko nyingine
0 Reactions
10 Replies
890 Views
Wakuu ningependa kujua namna gani naweza tengeneza picha katuni nikitumia iyo programe tajwa apo juu
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Je unahitaji software au huduma ya ku recover data zilizopotea either kwa kuformat au kufuta kimakosa? Wewe ni mwasibu na unahitaji account package kama quick book? Wasiliana nami kwa no hizi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Quantum computing breakthrough could 'change life completely', say scientists nikisoma nakala hii Na kuangalia taifa letu roho inakuwa inauma sana.Tech gap inazidi kuongezeka tu Na mudaa cyo...
0 Reactions
2 Replies
814 Views
Siku hizi maisha yanakimbia sana na kila kukicha majukumu yanaongezeka kwa kasi ya ajabu, ni rahisi sana kusahau baadhi ya ratiba kama kufanya mawasiliano na watu wako wa muhimu. Hapa ndipo...
11 Reactions
45 Replies
18K Views
Tafadhali mwenye msaada wa jinsi ya ku updade hii hiyo simu kutoka lollipop kwenda kwenye newest version.
0 Reactions
2 Replies
951 Views
Habari zenu wakuu nilikuwa naomba msaada maana nimepokea E-mail kutoka UNITED NATION, Ila nikuwa naomba msaada wenu wakuu maana E-mail hii imenichanganya hivyo nilikuwa naomba mnichanganulie zaidi...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Kuna njia mbalimbali zinazotumika kufungua simu zinazotumia mtandao mmoja. Hapa tutatumia njia 2. Njia no 1: Maandalizi 1/ Kompyuta 2/ Simu iliyofungiwa 3/ Simu inayofanana na hiyo...
4 Reactions
13 Replies
9K Views
Wakuu ipi ni browser nzuri, kwa maana ipo faster na inaweza kusave page offline? Nawasilisha ~Cmb
3 Reactions
31 Replies
6K Views
Kwanini MB za internet zinakimbia hivi, 600MB ndani ya 30 mints zimekata, hakuna download wala update kwenye pc. Nimezima browser zote lakini bado inanipa hadi 2.56Mbps.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu,. Kuna uzi uliwekwa hapa jamvini namna kuweza kufanya rooting katika simu, mimi nimefanikiwa katika Android yangu. Naomba wajuzi wa mambo watusaidie what's next baada ya hili ili...
0 Reactions
3 Replies
759 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…