Ushauri wa bure kama hakuna shida yoyote kwenye hiyo version achana na update, hapo ilipo ni safi sana tu ndugu yangu, mi nilikuwa na kiherehere cha kupata marshmallows (Android 6.0)najuuuta kuifahamu! Si kwa ulaji huo wa bando mzee. Natamani kurudi nyuma lakini ujanja ndo sina.Msaada tafadhali