Quantuum computers and what it means to africa

true kabisa gap litakuwa kubwa sana, na kama huu mfumo wetu wa kukariri darasani utaendelea hivi sijui nini kitatokea baadae.
 
Kweli kabisa problem solving kwenye technical aspects haijapewa kipaumbele na watu waliopata bahati za kwenda ma vyuoni hatuwaoni waki try ku solve issues Na kama wapo basi hawapewi kipaumbele.
 
Back
Top Bottom