Uchimbaji wa borewel

WPT

Member
Apr 19, 2016
20
6
Khabari wana jamvi hili..
Nikiwa na tabasamu lenye tumaini la uimara wa afya zenu, naomba nikunje miguu kama nyie jamvini kisha tujumuike pamoja..

Ewaah..
Akhsanteni..
Kabla hamjanipa chakula chenu, naombeni mtambue njaa niliyonayo..
Njaa kubwa niliyonayo ni ya kutaka kujua gharama za uchimbaji wa borewel katika maeneo ya kiluvya, au hata sehemu yoyote jijini dar es salaam.
Pia naomba kujua gharama za upimwaji wa ardhi kuangalia uwezekano wa uwepo wa maji.

Akhsanteni wana jamvi..
Natumaini Ntashiba...
 
kwanza eneo ulilotaja ukichimba kisima unasalimiana na maji ya chumvi labda kama ni bondeni.
Dooh .. chumvi kali au ya kawaida?..
Eneo langu lina bonde na kilima.. nyumba inakaa kilimani.. borewel ndo sijajua nieke wapi
 
Me nahitaji kisima cha kudumu., chenye bomba kias kwamba naweza nikauza maji as well ..

Kisima unachozungumzia wewe ni cha namna gan na ni bei gan?
Mi nimetoa link tu ya mtu alitangaza kufanya shughuli hizo mkuu unaweza mcheki pm au mawasiliano yake. Mi sio mdau wa shughuli hizo.
 
Khabari wana jamvi hili..
Nikiwa na tabasamu lenye tumaini la uimara wa afya zenu, naomba nikunje miguu kama nyie jamvini kisha tujumuike pamoja..

Ewaah..
Akhsanteni..
Kabla hamjanipa chakula chenu, naombeni mtambue njaa niliyonayo..
Njaa kubwa niliyonayo ni ya kutaka kujua gharama za uchimbaji wa borewel katika maeneo ya kiluvya, au hata sehemu yoyote jijini dar es salaam.
Pia naomba kujua gharama za upimwaji wa ardhi kuangalia uwezekano wa uwepo wa maji.

Akhsanteni wana jamvi..
Natumaini Ntashiba...
Mkuu sisi tunachimba visima yaani ( bore hole/ water well ) bei yetu ni elfu sitini kwa mita moja bomba inchi 4.5 au elfu sabini bomba inchi 5 karibu sana mkuu...kiluvya maji mazuri yana patikana na upimaji wa ardhi kama maji yapo ni shilingi laki tatu na nusu mkuu karibu sana
 
Nipatie mawasiliano yako
 
Back
Top Bottom