Habari wana jamiiforum

tiku

JF-Expert Member
Oct 31, 2015
441
257
Naomba msaada mtu mwenyekujua jinsivya kuangalia salary slip kwenye mtandao, najinsi ya kuangalia makato ya mfuko wa jamii kama lapf au pspf.
 
Sory salary slip na makato ya mifuko yabkijamii kama l.a.p.f kwa njia ya mtandao
 
Jaman mbona hamnijibu mnapita mnacheki mnaishia au mimi naulizaga maswali magumu?
 
KUPATA TAARIFA ZAKO MBALIMBALI ZA KIUTUMISHI KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI FUATA HATUA ZIFUATAZO :

(a) Google " Watumishi portal-Utumishi.

(b) Bonyeza neno jisajili

(c) Ili kujisajili utahitaji kuwa na vitu vifuatavyo ;

1. Email yako

2. Check no (hii ndo itakua na
taarifa zako)

3. Password
Ukishajisajili sasa utaweza ku Log in
katika hiyo portal.
Kiufupi portal yao wamejitahidi kwa
level yetu, iko simple na rahisi
kutumia ;

1. Taarifa zako (hapa ndipo kuna
kipengele cha salary slip)

2. Option ya kutafuta mtu wa kubadili
kituo cha kazi

3. Sehemu ya kuwasilisha
malalamiko na kufuatilia


Ndugu mtumishi mwenzangu, jiunge leo uache kuhangaika kutafuta salary slip yako, kwani una uwezo wa kuipata kwa kutumia simu yako ya mkononi !

pia unapata fursa ya kuhakiki taarifa zako za kiutumishi iwapo zipo sahihi au la !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom