Naombeni kueleweshwa juu ya hili saula la mb kua pesa

Kwa muda mrefu hili suala limekua linanitatiza aisee,
-hv ni teknolojia gani inayotumika au au ni jinsi gani ukinunua vocha ukajiunga bundle la mb halafu ukaingia mtandaoni su social media eg jamii forum mmiliki wa hiyo social media anapata faida kutoka kwenue mb.
-Ni mmiliki wa social media ndio anapata pesa au mtandao husika?
Msaada tafadhari
@mondra the future
There is no such thing mb kuwa pesa ni sawa na kuwaza mavi ya mbuzi kuwa karanga.. kinachofanyika ww mb zako zinapotelea kwa hao wanaokupa access ya mtandao wa internet mf, voda, tgo etc,, mmiliki wa JF anapata pesa kupitia matangazo ya biashara anayodisplay kwenye pages zake
 
There is no such thing mb kuwa pesa ni sawa na kuwaza mavi ya mbuzi kuwa karanga.. kinachofanyika ww mb zako zinapotelea kwa hao wanaokupa access ya mtandao wa internet mf, voda, tgo etc,, mmiriki wa JF anapata pesa kupitia matangazo ya biashara anayodisplay kwenye pages zake/
siyo kweli,mmiliki anapata pesa kila unapotembelea page yake
 
Swali zuri sana hata Mimi nataka kujua unakuta app ni ya bure kuidowload sasa faida wanapataje mfano app mpya ya ITV wao wanapataje faida?
 
Swali zuri sana hata Mimi nataka kujua unakuta app ni ya bure kuidowload sasa faida wanapataje mfano app mpya ya ITV wao wanapataje faida?
unapodownload au kuingia kwenye hiyo link ndo anavyopata mapato kupitia adsense
 
unapodownload au kuingia kwenye hiyo link ndo anavyopata mapato kupitia adsense
unaelewa maana ya adsense?
hyo ni kampuni inayomwezesha advertiser(mtoa tangazo eg, cocacola etc) na publisher(wewe mmiliki wa app au website) kkutana na kufanya biashara pasipo kuonana wala kujuana. Kwa maneno mengine adsense ni kama mtu kati. Tukirudi kwenye point ya jamaa hapo yeye anaulza MBs ndo zinabadilika na kuwa pesa unazolipwa ww? jibu jepesi ni HAPANA.


kinachofanyika ww mb zako zinapotelea kwa hao wanaokupa access ya mtandao wa internet mf, voda, tgo etc,, mmiliki wa JF anapata pesa kupitia matangazo ya biashara anayodisplay kwenye pages zake
 
Kwa mfano app ya freebasic wanapataje hela wakat ni bure
freebasic hii ni project kubwa ambayo imeingia partnership na makampuni makubw kamavile tigo na mengine makubwa duniani, hawa hawapo kwa ajili ya kutengeneza faida zaidi kupitia ile app bali wana namna nyngne wanayoijua wao kujiimarisha kibiashara.
 
Yeah mb ni pesa maana kitendo cha wewe kutoa pesa kununua mb ni pesa na anaesababisha wewe ununue Mb ni hiyo social media na haununui sababu ya mtandao hivyo makampuni ya mtandao yanakuaga yanalipa asilimia flani hizo social media kama malipo ya kusababisha vocha zao kuuza
 
Yeah mb ni pesa maana kitendo cha wewe kutoa pesa kununua mb ni pesa na anaesababisha wewe ununue Mb ni hiyo social media na haununui sababu ya mtandao hivyo makampuni ya mtandao yanakuaga yanalipa asilimia flani hizo social media kama malipo ya kusababisha vocha zao kuuza
Hahah, do you think so? ivi unafahamu kwamba kuna zaidi ya mitandao ya kijamii elfu moja dunian na inazd kubuniwa mipya kila siku. hata wewe pia unaweza kubuni wa kwako. unataka kuniambia kabla fb, whatsapp na twitter hazijawa hewani watu walikuwa hawanunui vocha? na je, watu wote wananunua vocha kwa ajili ya social networks pekee? vipi khs walw wanaotumia nokia tochi?
 
Na sio wote wanaoaccess internet kwa kutumia Vifurushi vya mitandao ya simu, sikuizi kuna Wi-Fi connection bila hata kuwa na lain una browse internet kama kawaida.. na wale wanaotumia satellite nao utawaweka kundi gan?
 
Back
Top Bottom