Naomba kujuzwa

Quan Lup

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
659
857
Wakuu naomba kuuliza hzi cm hapo chini ipi bora kuliko nyingine
c7b15eb9d6aa05f781344ae89bc6fcbe.jpg
3e71064d7e6efe54beaf715aae25b3dd.jpg
 
Ya pili kioo kikubwa ingawa redolution ni sawa na hiyo ya inch 4

SoC zote ni mediatek xote mbov so hakuna ushindan mkubwa sana hapo

Ram ya pili ni kubwa 1gb vs 512mb

Internal ya pili 8gb vs 4gb

Kwa hiyo kama ni mimi ningechagua ya pili
Ila zote ni budget phones low price low specs

But ya pili ni bora
 
Usidanganyike sana na hizo clockspeed kwa matumiz ya kawaida hautakuja unotice tofauti
Unless wewe ni heavy user and if you are hizo simu zote zitakuangusha
 
Asnte mkuu sema mm ni mpenzi sana games kama real racing 3na nfs no limit cm ipi kati ya hizo znaweza kucheza hizo game husika apo juu
 
Usidanganyike sana na hizo clockspeed kwa matumiz ya kawaida hautakuja unotice tofauti
Unless wewe ni heavy user and if you are hizo simu zote zitakuangusha
Dual core na Quad -core ni ipi kubwa mkuu ??
 
Asnte mkuu sema mm ni mpenzi sana games kama real racing 3na nfs no limit cm ipi kati ya hizo znaweza kucheza hizo game husika apo juu
Nadhani zote zinacheza hizo game ulizotaja maana sio heavy games ila lalia zaidi kwenye ram kubwa

Kama ukicheza heavy games kama nba2k au gta san andreas au hata pes 2017 hiyo ya kwanza utaibamiza ukutani
 
Chukua ya pili kwa kigezo cha internal memory bt almost other features zinataka kufanana mfano OS zote n kitkat
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom