Impaler Senior Member Aug 1, 2012 163 75 Feb 5, 2017 #1 Nahitaji kuhack simu ya android ili nipate sms za kawaida, za whatsapp, voice calls na call logs zake. Software ipi na inapatikanwa wapi? Namna gani kuitumia? Naomba ushauri.
Nahitaji kuhack simu ya android ili nipate sms za kawaida, za whatsapp, voice calls na call logs zake. Software ipi na inapatikanwa wapi? Namna gani kuitumia? Naomba ushauri.
U usiende kariakoo Member Dec 29, 2016 14 22 Feb 5, 2017 #3 Ukishahack utapata faida gan zaid ya presure?
SHADOWANGEL JF-Expert Member Sep 15, 2014 528 349 Feb 5, 2017 #4 USIOGOPE KUJUA UKWELI KAMA UMEJIPANGA KUJUA UKWELI