MB zinakatika balaa

kizaizai

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
5,564
6,846
Kwanini MB za internet zinakimbia hivi, 600MB ndani ya 30 mints zimekata, hakuna download wala update kwenye pc. Nimezima browser zote lakini bado inanipa hadi 2.56Mbps.
 
mkuu windows ina task manager na resource monitor tena kama una windows ya kisasa inakuonyesha kila app na internet unayotumia

mfano windows 10 ukiingia task manager kwenye app history utaona, kuingia task manager
-right click toolbar chagua task manager
-au bonyeza ctrl+alt+delete
-au nenda sehemu ya search andika task manager

ximg_55cba06523c8e.png.pagespeed.gp+jp+jw+pj+js+rj+rp+rw+ri+cp+md.ic.obk-ka3jjD.png

kwa windows za zamani unaweza kwenda resource monitor au eka 3rd party app kama vile glasswire itakuambia kila kitu
 
kama ni mzoefu na pc(windows) unaweza tumia command line interpreter kudisable,unapress win+R alaf una una type tasklist unanote task alaf taskkill
 
Kwanini MB za internet zinakimbia hivi, 600MB ndani ya 30 mints zimekata, hakuna download wala update kwenye pc. Nimezima browser zote lakini bado inanipa hadi 2.56Mbps.
Kwa kawaida windows system by default update huwa ipo on, so unapoconnect na internet kama kuna update itaanza kudownload, vipi hiyo windows yako ulikuwa umeweka system update off?
 
Kwa kawaida windows system by default update huwa ipo on, so unapoconnect na internet kama kuna update itaanza kudownload, vipi hiyo windows yako ulikuwa umeweka system update off?
Ilikuwa on.
 
Back
Top Bottom