Baada ya kufanyia rooting simu yangu naweza kufaidika na nini?

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,400
24,984
Habari wakuu,.

Kuna uzi uliwekwa hapa jamvini namna kuweza kufanya rooting katika simu, mimi nimefanikiwa katika Android yangu.

Naomba wajuzi wa mambo watusaidie what's next baada ya hili ili tuweze ku enjoy haya mabadiliko.

Kama kuna program nzuri pia tujuzane.

Thanks,..
 
Ingekuwa busara uhoji kabla hujajiunga mkuu
Habari wakuu,.

Kuna uzi uliwekwa hapa jamvini namna kuweza kufanya rooting katika simu, mimi nimefanikiwa katika Android yangu.

Naomba wajuzi wa mambo watusaidie what's next baada ya hili ili tuweze ku enjoy haya mabadiliko.

Kama kuna program nzuri pia tujuzane.

Thanks,..
 
Kuna nyuzi nyingi sana huku zinazohusiana na ku root simu ....... Jitahidi uzipitie kwa utulivu utaona faida na hasara zake..... Kupitia hizo nyuzi ndio uje kuuliza maswali.!
 
Back
Top Bottom