Ipi ni Browser bora kwa simu za Android hapa Duniani?

Uc browser lite

Ilikua best wakati huo natumia Android, naamini bado bora maana naitumia kwenye platform nyingine lakini bado ipo good

I hope unazungumzia kwa simu
 
Uc browser ni muhimu hasa kwa wale wanaopenda ku copy content from locked page pia unaweza kuzuia ads kwa kulock..Ila haiwezi ku copy maandishi mengi kwa wakati mmoja.Pia uc ni nzur kwa kudownload ikiwa ni pamoja na pause na resume inakubali na inaboost speed.
Opera iko vizur kwa kuperuz pia iko vizur kwenye kucopy web content kubwa kwa wakati mmoja.....
Chrome natumia ya Computer ndio iko poa.
 
Mkuu kwa Mobile users The best Browser kwangu ni Uc browser iko flexible sana
 
uc browser naipitaga tu nakuona yakichumba sana lkn cha ajabu ndo imepata kula nyingi humu....khaaaaaa
 
Back
Top Bottom