Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,285
Wakuu ningependa kujua namna gani naweza tengeneza picha katuni nikitumia iyo programe tajwa apo juu
Kuna group lipo whatsapp wanafundisha pamoja na video tutorials, tafuta ujiunge!!!!Wakuu ningependa kujua namna gani naweza tengeneza picha katuni nikitumia iyo programe tajwa apo juu
Kuna group lipo whatsapp wanafundisha pamoja na video tutorials, tafuta ujiunge!!!!Wakuu ningependa kujua namna gani naweza tengeneza picha katuni nikitumia iyo programe tajwa apo juu
Mkuu mbona sijawahi iona iyoKuna adobe animation mkuu, zamani adobe flash, hapo ndio nyubani kwa cartoon. Ukiadvance ukaingia kwenye 3D tafuta Maya ndio mwisho wa kazi.
Ingia youtube andika adobe photoshop tutorials for beginners!! Utapata za kumwaga!!Wakuu ningependa kujua namna gani naweza tengeneza picha katuni nikitumia iyo programe tajwa apo juu
kuna adobe Photoshop....special kwa ajiri ya photo editing tu.Mkuu mbona sijawahi iona iyo
Dah aisee jombaa anyway kwa begginer kama ww itakuchukua muda kufanikisha...ni vyema uanze kujifunza namna ya kutumia tools takriban zote...I.e pen tool ..brush..na nyinginezo::jifunzie kwenye simple drawings natumain itakusaidia pindi ukianza kuchora Cartoon hutasumbuka kwani utaalam utakuwa unao.na utatoa cartoon nzuri sana...I.e. Adobe illustrator Cc ni nzuri pia kwa kudesign simple cartoon...zipo youtubechannels utapata tutorial za kutosha.....Vector Portraits.....@Kila LA kheriWakuu ningependa kujua namna gani naweza tengeneza picha katuni nikitumia iyo programe tajwa apo juu
Asant mkuuDah aisee jombaa anyway kwa begginer kama ww itakuchukua muda kufanikisha...ni vyema uanze kujifunza namna ya kutumia tools takriban zote...I.e pen tool ..brush..na nyinginezo::jifunzie kwenye simple drawings natumain itakusaidia pindi ukianza kuchora Cartoon hutasumbuka kwani utaalam utakuwa unao.na utatoa cartoon nzuri sana...I.e. Adobe illustrator Cc ni nzuri pia kwa kudesign simple cartoon...zipo youtubechannels utapata tutorial za kutosha.....Vector Portraits.....@Kila LA kheri
Ngumu sana kumuelekeza mtu kwa maneno maandish, maana inahitaj kumuonyesha tools mbalimbali, jinsi ya ku colour picha n.k.Wakuu ningependa kujua namna gani naweza tengeneza picha katuni nikitumia iyo programe tajwa apo juu
Asante mkuu vip we unatumia editor ipi mbal na adobe photo shop cs6Ngumu sana kumuelekeza mtu kwa maneno maandish, maana inahitaj kumuonyesha tools mbalimbali, jinsi ya ku colour picha n.k.
La msingi anza ku master basics za photoshop ili rahisi sana kupewa hints n.k.
Kama umeanza ku master zama tu youtube kuna vids nyingi sana zitakupa miongozo.
Illustrator, ila most of time ni adobe CC.......bt nafanyaga for funny tu.Asante mkuu vip we unatumia editor ipi mbal na adobe photo shop cs6