Investaa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 810
- 711
Habari wanIT, bado nafikiria kwann IT wengi wa kibongo magumashi kwenye swala kujoin pamoja na kutengeneza ajira kwa wengine kama vile FB, Twitter, Google n.k. Kwann tunakuwa wabinafsi kiasi hiki . Jana nilisikia BBC Swahilli mtu wa Bank ya Dunia anasema kuwa technology inakuwa ila aiendani na ukuwaji wa watu. Yaan nilivyomuelewa ni technology inakuwa ila watu awanufaiki na kukuwa kwa hiyo technology.
Kinachonishangaza paka IT wanalaumu serikal ajira ajira ajira bora wangelaumu watu walisoma masomo mengine ila sio IT. Watu walisoma Science kwa mtazamo wangu watakiwi kabisa kulaumu serikali kuhusu ajira kwa mfano medicine, pharmacy na IT wote hao wanaweza kujiajiri nikaanza na medicine /pharmacy:
Unawexa kuanzisha blog/website nakuanza kuandika articles za mambo ya afya na kutoa consultant online kwa kuwa charge watu pesa au ata kuweka matangazo ya goolge adsense ukalipwa kwa dola. Tulio wengi hasa wasomi wa chuo kikuu tuna mawazo ya kuajiriwa ndo maana tunalalamika ajira ajira.
Kama tukitumia ujuzi tulioupata chuo kwa watu niliyotaja hapo juu tukiunganisha na technology aina haya ya kuajiliwa au kulialia ajira.
Kilio changu kikubwa ni IT , Y IT wa bongo awataki kuungana . Kuna kipindi nilitoa wazo juu ya kuungana kama IT natufanye kazi kwa pamoja ila wajitokeza wachache. Hivi kuna IT gani hapa duniani aliyofanikiwa akiwa pekeyake. Kuna mifano mingi sana kwa IT walioungana wakafanikiwa paka sasa tunatumia kazi zao kwa mfano whatsapp, fb,twitter,google,snapchat N.K
Hitimisho::
Naombeni IT tuunganane ili tufanike mambo ambayo tunataka tufanikishe kama IT wenzetu waliyotutangualia walivyofanya wakafanikiwa.
Nawakilisha asanteni.