Hamisi Maulid
Member
- Nov 23, 2016
- 14
- 10
Wadau naombeni mwenye uzoefu wa namna ya kufungua, kuendesha na gharama za website anipati.
Stay blessed.
Stay blessed.
Kwa kifupi kusajili na kurusha website hewani inagharimu takriban elfu 70 kwa mwaka kwa makampuni ya hapa tanzania.Wadau naombeni mwenye uzoefu wa namna ya kufungua, kuendesha na gharama za website anipati.
Stay blessed.
samahani naweza kupata link ya host mzuri kwa hapa tanzaniaKwa kifupi kusajili na kurusha website hewani inagharimu takriban elfu 70 kwa mwaka kwa makampuni ya hapa tanzania.
Utahitaji kulipa hiyo gharama kila mwaka.
Ili website iwe hewani unahitaji kuitengeneza (designing) ambapo unaweza kuifanya mwenyewe kama una uwezo au unaweza kufanyiwa na mtu mwingine kwa malipo ya makubaliano.
............
Kifupi ili web iwe hewani:
1. Design your site
2. Register (sajili jina/ domain) utalipia kama elfu 20 .
3. Hosting (utalipia storage ya kuiweka web yako kwa gharama kama tsh elfu 50)
4. Upload ( kuirusha web yako) hii hailipiwi
samahani naweza kupata link ya host mzuri kwa hapa tanzania
Ni pm nikutengenezee site na kuhosti kwa being cheeWadau naombeni mwenye uzoefu wa namna ya kufungua, kuendesha na gharama za website anipati.
Stay blessed.
mkuu naomba utembelee hii planetbongo.com kisha niambie mapungufu ukiweza nikupe kazi urekebishe.Ni pm nikutengenezee site na kuhosti kwa being chee
Shukranwebsite unaweza tengeneza bure na ya kulipia inaweza kugharimu chini ya 5000 kama ni mjanja na una uvumilivu. kwenye website kuna kama vitu vitatu muhimu
-domain
-hosting
-website yenyewe pamoja na utaalamu
hapa nita assume website unatengeneza mwenyewe
1. website ya bure
hapa utatumia hosting ya bure na jina la bure, mfano wa hosting ya bure ni kama blogspot ya google na hostinger.ru na mfano wa domain ya bure ni kama jinalako.blogspot.com au jinalako.tk etc
2. website ya gharama nafuu (kwa mwaka wa kwanza)
domain unaipata kwa dola 0.99 na hosting vile vile unaipata kwa bei hio hivyo around dola 2 unapata hosting na domain vyenye thamani ya dola kama 46 (kwa elfu 4500 unapata vyenye thamani ya laki 1)
kwa domain kuipata bei hio unatafuta tu promotion code na kwa hosting unasubiria sikukuu za marekani mfano blackfriday.
site ya domain ni kama godaddy na site ya hosting ni namecheap.
3. bei ya kawaida ya domain na hosting
kikawaida domain ni kama dola 10 kwa mwaka na hosting ni dola 3 mpaka 5 kwa mwezi, hivyo andaa kama laki 1 kwa domain na hosting uhakika.
kama huna utaalamu ongezea na bei ya atakaekutengenezea
ThanksKwa kifupi kusajili na kurusha website hewani inagharimu takriban elfu 70 kwa mwaka kwa makampuni ya hapa tanzania.
Utahitaji kulipa hiyo gharama kila mwaka.
Ili website iwe hewani unahitaji kuitengeneza (designing) ambapo unaweza kuifanya mwenyewe kama una uwezo au unaweza kufanyiwa na mtu mwingine kwa malipo ya makubaliano.
............
Kifupi ili web iwe hewani:
1. Design your site
2. Register (sajili jina/ domain) utalipia kama elfu 20 .
3. Hosting (utalipia storage ya kuiweka web yako kwa gharama kama tsh elfu 50)
4. Upload ( kuirusha web yako) hii hailipiwi
mkuu naomba utembelee hii planetbongo.com kisha niambie mapungufu ukiweza nikupe kazi urekebishe.
UNAWEZA KUFANYA HIYO KAZI?website/Forum yako umedesign kupitia blogger au online software? kuna baadhi ya vitu nimeviona kama mapungufu:
1. MAIN MENU (NAVIGATION) inayo HOME na MEMBERS TU! ningekushauri MENU-BAR IWE MPAKA MWISHO wa PAGE.
2. HAKUNA BANNER , ni vyema ungeweka banner hapo juu, Banner itakuwa na LOGO pamoja na SLOGAN na jina la WEBSITE/KAMPUNI.
View attachment 471985
3. Sijawahi kuunda forum kubwa lakini Ningekushauri ujaribu kutumia WORDPRESS na plugin yao ya BBPRESS na pia kama umehost kupitia blogger ungehamisha kwenye server nyingine ili upate control zaidi kwenye issue ya storage space na files uploading.
Nitakucheki pmUNAWEZA KUFANYA HIYO KAZI?
Mkuu hebu tusaidie tafuatahiwebsite/Forum yako umedesign kupitia blogger au online software? kuna baadhi ya vitu nimeviona kama mapungufu:
1. MAIN MENU (NAVIGATION) inayo HOME na MEMBERS TU! ningekushauri MENU-BAR IWE MPAKA MWISHO wa PAGE.
2. HAKUNA BANNER , ni vyema ungeweka banner hapo juu, Banner itakuwa na LOGO pamoja na SLOGAN na jina la WEBSITE/KAMPUNI.
View attachment 471985
3. Sijawahi kuunda forum kubwa lakini Ningekushauri ujaribu kutumia WORDPRESS na plugin yao ya BBPRESS na pia kama umehost kupitia blogger ungehamisha kwenye server nyingine ili upate control zaidi kwenye issue ya storage space na files uploading.
Mkuu hebu tusaidie tafuatahi
*Aina za website au blogs
*Gharama za kutengeneza na ku maintain website za aina tofauti
*Ni sheria gani zina regulate operation ya website
* Website kama ya JF ipo kundi gani
SHukran mkuu kwa maelezo mazuri ningekuomba unitajie potential web designing coys ambao ili niulize gharama halisi lakini kwenye pm ili isiwe promoKuna aina mbili za Website (1). static website -hii ni website ambayo haina support ya user interraction yaani huwezi kufanya activity yoyote zaidi ya kuperuzi website pages zake. (2). Dynamic website ni website ambayo inaweza kuwa na form unajaza na kuiSubmitt hapo na ikaenda kwenye database ya website hiyo.
Blog ni aina ya website ambayo mwanzoni zilikuwa zinaandaliwa kwa Page moja tu ambayo ni refu, ila kwa sasa blog zimeboreshwa na zinaweza kuwa na page nyingi nyingi mfano wa blog ni blog ya IssaMichuzi.blogspot.com . blog ni maalum kwaajili ya kuweka matukio kwa mfumo wa POSTS.
Gharama za kutengeneza na kuMaintain website zinatofautiana kulingana na aina ya website, ukubwa na lugha iliyotumika pamoja na mahitaji ya mwenye website.
Sheria zinazoregulate operation za website ni sheria za MTANDAO- kulingana na dhumuni la website na shughuli zake, kama ni website ya biashara basi biashara yako iwe imesajiliwa, halali na ulipe kodi.
website kama JF ni Dynamic website ambayo ni Forum.
Naona umezuia private message kuja kwako. Hebu nicheki hapa : ymollel@gmail.comUNAWEZA KUFANYA HIYO KAZI?
Nime Ku pm bossNaona umezuia private message kuja kwako. Hebu nicheki hapa : ymollel@gmail.com