Masterproud
JF-Expert Member
- Sep 14, 2012
- 441
- 116
Habari ya saa hizi wana JF. Samahani naombeni msaada, Eternal Hard Disk yangu (Transcend 500 GB) Inaandika Format kila nikiichomeka kwenye PC. ndani ina data zangu nyingi sana muhimu. Nimejaribu kuiweka kwenye computer mbalimbali bado kila nikiiweka kabla ya kufunguka inaleta msg kuwa natakiwa niiformat. juzi nimejaribu kutaka kuiformat lakini pia ikagoma kuformat ikaandika msg 'window is unable to format'. Naombeni msaada nifanyeje? Je ikiwezekana kuformat data zangu zinawezaje kupatikana tena? Asante