Deki yangu ya singsung nikiweka CD nyingine zinasoma zingine hazisomi inaandika stop niki-play tena

emmylove45

Member
Dec 2, 2016
38
6
Nina deki yangu aina ya singsung ..imeanza tatzo nikiweka cd nyingine zinasoma zingine hazisomi inaandika stop nkplay tena inaandika stop.. Mda mwngne znasoma ila inaandika unsupported format!!! tatzo ni nin?
 
katafute CD maalum ya kusafisha mionzi.
huwenda jicho limeanza kuchoka.
 
Back
Top Bottom