Jeshi la police na usalama wa taifa wanatoa course hiyo register kua afande utajua tu,Course hii sio huriaMie n kijana. Naifaham computer kwa matumizi ya kawaida.. Napnda sana kupata mafunzo ya technlogia ya kupambana na wizi wa mitandao.. Je kwa hapa tanzania especially dar nitapata wapi hio course
Sasa mbona una mwambia aendenenda d.i.t nasikia wanatoa hiyo cozi lakini sina uhakika.
Kwa dar es salaam sina uhakika........ila hii course ukitaka usome vizuri maana ni pana sana, kasome degree yake kabisa uwe mtaalam, kasome bachelor of information system security inapatikana informatics udom, hapo utapata mwanga sana, baadae unaweza kuendelea na speciliazation na hiyo kitu kwenye masters utakua vizuri sanaMie n kijana. Naifaham computer kwa matumizi ya kawaida.. Napnda sana kupata mafunzo ya technlogia ya kupambana na wizi wa mitandao.. Je kwa hapa tanzania especially dar nitapata wapi hio course