Kitabu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 313
- 28
wakuu ninatumia umeme wa sola kwa ajili ya umeme wa nyumbani, kwakuwa panel zangu ni za volt 24, na inverter ni ya volt 12, huwa kila siku asubuhi nina charge betri kwa mfumo wa volt 24(nina betri mbili), na jioni tukirudi home,nina disconect solar pannel halafu ninaunganisha inverter kwa mfumo wa volt 12. Sasa leo kwa bahati mbaya wakati wa kucharge betri, nikageuza terminal ya + nikaweka kwenye - ya betri na terminal ya - nikaweka kwenye + ya betri. Nimekuja kugundua hilo kosa saa 7 mchana. ila cha kushangaza nikiwa ninatarajia kuwa betri imekufa, kwanza nilizikuta ni za moto lakini charge imeingia, cha ajabu zaidi nikiunganisha inverter kwa mfumo wa kawaida inapiga short lakini nikigeuza terminal kama nilivokosea wakati wa kucharge eti inverter ndio inawaka, yani kama vile zile terminal za betri zimebadilishwa polarity, je hii inamaana betri zangu ndo basi tena au niendelee kugeuza terminals?????
naomba msaada wenu
naomba msaada wenu