Msaada kublock sms whatsapp

Mpagani

Senior Member
Oct 8, 2016
134
66
Heshima yenu wakuu,
Kama nilivyo jieleza hapo juu naomba mwenye uelewa juu ya kublock sms za magroup watsaapp maana imekuwa kero sihitaji kuleft nia nikihitaji niwe naruhusu group moja moja nazisoma sms pls....
 
Back
Top Bottom