Naomba njia mbadala ya kufungua mlango wa CD kwenye laptop

Tayukwa

JF-Expert Member
Dec 11, 2014
2,171
4,398
Salam wana JF,

Naomba alternative way ya kufungulia mlango wa CD ktk laptop imenigomea kufunguka kwa njia za kawaida.
 
Kama una sindano ya kushonea ile ya mkono jaribu kupitisha kwenye kitundu kidogo kipo hapo hapo kwenye mlango wa cd halafu press kimtindo.


Fuata hii njia uliyoelekezwa ndiyo njia sahihi
aid6661688-728px-Eject-the-CD-Tray-for-Windows-10-Step-3-Version-3.jpg
 
Lingine:-
Nahitaji fundi wa laptop dell inspiron apatikane Dar.
 
Tatizo lako nini nini unaweza pewa maelekezo unafanya mwenyewe na usione hata haja ya huyo fundi
Imegoma kuendelea kufanya kazi hivyo kuna mtu kaniambia imekufa sakiti yake hivyo mpaka niwekee nyingine hapo ndipo ilipo shida yangu mkuu
 
Back
Top Bottom