Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,612
Wadogo habari zenu wakubwa shikamooni.
Mimi ni mwanafunzi wa it naomba mwenye idea yoyote ya information system ambayo haijatrngenezwa nataka ni develop program yoyote kama practical project ya system analysis and design.
Nimepewa kama assignment inatakiwa iwe implemented kabla ya mwezi March.
Nakaribisha maoni yenu wadau nina iman idea mnazo. Lengo langu ni kupata ideas zitakazo weza kusolve changamoto Fulani katika jamii kupitia information system