Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Jamani nahitaji msaada wenu Nina laptop yangu aina ya Dell Nilikuwa Naitumia vizuri lakini juzi imeanza tatizo la Kuwa nzito na kuchemka nikiwa naangalia movie inakaa mda Ikiwa Poa baadae inanza...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Ni matumaini yangu kuwa wote mko na afya njema. Nimekua nikiona mitandaoni kuwa kuna baadhi ya watu wamefikishwa mahakamani kwa sababu ya kusambaza kitu kwa njia ya Watsapp , hii ina maana private...
0 Reactions
3 Replies
940 Views
simu yangu tecno w3 inakuwa na kifurushi cha kutosha kabisa lakini msg za whatsapp hazifunguki lakini nukiunganishwa kwa WIFI zinaanza kufunguka. naombeni msaada
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nmepoteza cover ya cd ya windows8 that means nmepoteza pia na code zke za kuniruhusu mm kuweza kuitumia..how can managed to use au kuzipata hizo code zke maana imeishia kati inacommand code ambazo...
0 Reactions
6 Replies
805 Views
Tafadhari Shufu Kichwa cha Habari Hapo Juu, Naomba Kusaidiwa Kupanga Channel Kwa Jinsi Upendavyo Kwenye King'amuzi cha Azam, Mf. Kwenye Madishi Makubwa Nilikua Nimepanga Channel ya Kwanza1. ITV...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Siyo siri, Kwa sifa hizi Nokia atatake over easily katika soko la simu za mkononi, Hususan Africa,Tanzania ikiwemo. TECNO, ITEL & Co wajiangalie na simu zao ambazo ni overpriced huku zikiwa na...
13 Reactions
98 Replies
17K Views
hello waungwana. Nlikuwa naomba msaada wa jinsi ya kuunga cisco IP telephons kwny network.Natumia router ya linksys
0 Reactions
0 Replies
490 Views
jamani nahita nunua simu aina ya samsung naombeni kuuliza samsung ipi nzuri
0 Reactions
28 Replies
8K Views
Kutoka Kwenye Dvd Player ili display kwenye monitor yenye port ya dvi je inawezekana na km inawezekana nifanyanyeje naomben msaada
0 Reactions
23 Replies
5K Views
habari zenu wakuu, kwanza natanguliza shukurani kwa msaada ntakaopewa, computer yangu aina ya desktop (HP), pia ina RAM 1GB, WINDOW7, harddisk GB40, nikiistall games zinagoma kuplay sijui tatizo...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimenunua Projector(beamer) Nimenunua na HADMI wire kwaajili ya hiyo projector Nimenunua na na kichwa cha HADMI ili niunganishe kwenye Ipod au tablet lengo nicheze move toka tablet...
0 Reactions
2 Replies
803 Views
Nahitaji Kununua Compyuter Kwaajili ya kufanya Video Editing #Mwanzo Nilinunu HP yenye 4gb Ram, processer Core Duo 3.00Ghz Hdd 500 Gb Nimeweka Adobe After Effect CS6 Inakuwa inastak Sa Cjui...
0 Reactions
2 Replies
703 Views
Wadau ninaomba msaada Mara nyingi ninakuta kwenye simu application moja au mbili hazionekani wakati niliziinstall kutoka play store Ila ukiingia setting,apps unazikuta zipo tatizo ni nini!
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau kama kichwa kinavyojieleza. Nina simu ya samsung s4 GT-I9500 tatizo lake ni hilo. Mnara unaoneka network imejaa lakini ukijari kupiga inatoa majibu kwamba Not register on network. Naomba...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
nawezaje jua friends au kuapata marafika ndani ya fb walio karibu na eneo ninalo ishi
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Natumia tecno C9 lakini shida kubwa kwangu haitumi sms yenye maneno mengi,Naomba msaada namna yakuondokana na tatizo.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada wa kutengeneza website, zile za bure, naomba instructions nijitahidi kutengeneza. Asante
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari wakuu.... Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikitumia sizi simu japo nimewah tumia android pia Nimekuwa addicted Na hizi windows phone, maana Ni simu ambazo sipo smart kuliko kawaida(...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…