Kupotea kwa apps

Kabelwa

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
664
176
Wadau ninaomba msaada Mara nyingi ninakuta kwenye simu application moja au mbili hazionekani wakati niliziinstall kutoka play store Ila ukiingia setting,apps unazikuta zipo tatizo ni nini!
 
Wadau ninaomba msaada Mara nyingi ninakuta kwenye simu application moja au mbili hazionekani wakati niliziinstall kutoka play store Ila ukiingia setting,apps unazikuta zipo tatizo ni nini!

Jaribu kutumia 3rd party lunchers app kama Solo luncher au Nova luncher tofauti na hiyo bultin luncher ya simu.
 
dah we mzee simu yako kila siku ina shida. huenda umezidisable. nenda setting kisha app, halafu bonyeza app ambayo imepotea kisha kama ipo "desable" iweke "enable"
 
Back
Top Bottom