Tafadhali naombe msaada kuhusu FB

hamjunior

Senior Member
Nov 4, 2016
102
37
nawezaje jua friends au kuapata marafika ndani ya fb walio karibu na eneo ninalo ishi
 
nawezaje jua friends au kuapata marafika ndani ya fb walio karibu na eneo ninalo ishi

Fuata ushauri wa mkuu Mkaruka na hakikisha pia uwe umewasha GPRS location ili FB iweze kutambua vizuri eneo ulipo na watu walio jirani na eneo lako
 
sawa ila iyo sehem ya find friend mbona siioni

Click juu kulia mwa facebook yako kama unaenda kuangalia profile yako ambapo wameandka "View your profile" chini yake sasa utaona neno "Nearby friends" click hapo ndo utakuta unachokitaka.
 
weka eneo sahihi unal0ishi yaani h0me city na birth city au import fr0m y0ur c0ntact
 
apo nimefika ila inaleta wa mbali na nilipo au ni mpaka awe friend wako
 
Back
Top Bottom