Naomba kujuzwa katika hili waungwana

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
1,203
999
Nimenunua Projector(beamer)
Nimenunua na HADMI wire kwaajili ya hiyo projector
Nimenunua na na kichwa cha HADMI ili niunganishe kwenye
Ipod au tablet lengo nicheze move toka tablet.

Ninachoomba:
1.Nikiunga na Anterna cable (king'amuzi)naona picha tuu sipati sauti ila ina sikika ikilia chaaaaaaaaaa!!! Na picha ya tv inapatikana kawaida.

2.Nikiunga na HADMI cable sipati picha kabisa yoyote (NO SIGNAL)

3.Nikiunga pia na Deck au tablet inaniambia NO SIGNAL

HEBU WAJUZI WA MAMBO NAOMBA WANIJUZE NINI CHAKUFANYA WAKUU.

NATANGULIZA ASANTE ZANGU.
 
Samahani ebu piga hata picha hiyo Projector yako kwenye real panel(kwa nyuma)
 
Back
Top Bottom