samsung s4 i9500 Not register on network

poposindege

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
453
175
Wadau kama kichwa kinavyojieleza. Nina simu ya samsung s4 GT-I9500
tatizo lake ni hilo. Mnara unaoneka network imejaa lakini ukijari kupiga inatoa majibu kwamba
Not register on network. Naomba msaada wa kutatua tatizo hilo
not-registered-on-network.jpg

 
Imei yake inaanza na namba ngapi? Kama siyo 35 na badala yake ni 0049 tayari imepoteza imei number. Ila unaweza kuweka nyingine
 
Tcra ama kam mbishi ka mm badilisha imei, wakiifunga tena unabadilisha unaendelea kujimwaga
 
yani enternet inafanya kazi na line pia inasoma majina yote ila kupiga ndio haitaki
 
Back
Top Bottom