kabon14
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 1,233
- 867
Habari wakuu....
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikitumia sizi simu japo nimewah tumia android pia
Nimekuwa addicted Na hizi windows phone, maana Ni simu ambazo sipo smart kuliko kawaida( wanaozitumia wanajua ).. Lakin suala linaloniumiza kichwa Ni kwamba hii system haina application nyingi kulinganisha Na android Kuna apps nying Sana za kuvutia lakin hazipo kwny store ya hizi simu mf. Jamii forums Na nyinginezo, huwa najiuliza Sana kwann hawa Microsoft wanakosa baadhi ya apps kwny store zao(anayefahamu anijuze,hii inakuwaje)
Wakati mwngne huwa nakosa raha nnapo ingia store Ili kuinstall app halafu nkaikosa,naumia lakin nakosa cha kufanya ...
Lakin all in all sijawah fikiria kutumia sim yenye system tofauti maana windows phone zina software amaizing Sana,.. Zina respond haraka,mwonekano wake pia unanivutia sana, kuhusu Microsoft account yangu Kuna mengi ya kunivutia pia..